moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mtuwache
Nzuri mpendwaKwema, hali yako
Sikuiona hii. Pole sana bro. Umemzika Mzee wetu majuzi tu hapa halafu tena hili!? Kama binadamu hatuna la kufanya bali kumshukuru Mungu kwa yote. Wapumzike salama wapendwa hawa waliotangulia..[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ndio ankoo, nimepoteza mwanangu
Shida ni ile ile hata kwenye hii chanjo ya Johnson and Johnson. Damu inaganda kwenye ubongo na waathirika wakuu ni wanawake ambao hawajafikia menopause. Na matibabu yake kuondoa hiyo damu iliyoganda ni tata. Matibabu ya kawaida ya kutumia clot bursting drugs hayafai...Danish television writes (in danish):
The director of the National Board of Health, Søren Brostrøm, states in a press release from the National Board of Health that Danish-Norwegian registry studies have shown an over-frequency of side effects, especially blood clots in the veins in the brain, after vaccination with the AstraZeneca vaccine: - Overall, we must say that the results show that there is a real and serious side effect signal with the vaccine from AstraZeneca. Based on an overall consideration, we have therefore chosen to continue the vaccination program for all target groups without this vaccine, he says.
![]()
LIVE: Pressemøde om AstraZeneca-vaccinen
www.dr.dk
Pole sana. Mungu ni mwema. In sha Allah mutayapita mapito na Mtajaakiwa rizk nyengine.Ndio ankoo, nimepoteza mwanangu