Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

wabadhirifu huku zanzibar unawapata zaidi eneo la kiuongozi kuliko wafanyakazi wa chini, kesi za huku nyingi zinawahusu viongozi wakubwa kula pesa za miradi ya kimaendeleo, kunyanganya watu ardhi hususani zile za ufukweni na kuwauzia wageni.

kwa kiongozi usiyehofia muhali ni rahisi sana kuwasambaratisha watu kama hao kama utakuwa na kundi la watu ndani ya chama chako wanaokuunga mkono.

hoja kubwa inakuja hapa
je na wewe ni msafi wa kila kitu hata uwanyooshee vidole madoni wenzako?
Na hapa Tanzania tatizo kubwa ni usafi wako wewe unayetaka kuwachukulia hatua watu wako, je una usafi kiasi gani?
We mwenyewe ni jambazi sugu, mpigaji, dhulima, muuaji halafu unasimama katikati kujifanya msafi.
Na huu ndiyo ugonjwa wa bara la Afrika
 
Back
Top Bottom