D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
huku zanzibar kila inapofika mwezi mtukufu wa ramadhani majira ya kutoka na kuingia kazini yanabadilika kwa wale wafanya kazi wa serikalini.Mliotoka kazini poleni..
kutoka kazini inakuwa ni saa 8:30 mchana
=================
kwa walimu wa shule trip ya asubuhi kama nitakuwa sahihi wanatoka saa 4:30 na wa mchana wanaingia muda huo mpaka saa 8:30
huko kwenu utanganyikani muunganoni vipiiiiiii?