Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia, Kamati hiyo imebaini kwamba Maafisa na askari wananyimwa fursa ya kupata vielelezo vya taarifa za mishara yao ikiwemo ‘Payslip’ zao hiyo imepelekea kwa baadhi ya askari hao kukatwa mishahara yao kinyume na utaratibu na kutokujua malengo ya makato hayo.
Alisema kuwa Kamati hiyo pia, imegundua kuwa kuna baadhi ya Askari waliokuwa wakitiliwa posho na kukatwa kwa kuingizwa kwenye maduka ya vikosi hali ambayo iliibua malalamiko mengi kwa askari na kuwakosesha morali ya kufanya kazi.
Pumbavu sana
 
Nao wana kesi ya kujibu
bwana mwinyi anasema hatafukua makaburi, kikubwa anachokifanya ni kuchoma moto vichaka vidogo vidogo.
hiyo kadhia bila ya shaka aliyekuwa waziri wa nchi na vikosi vya smz alikuwa anahusika hivyo basi kuwahukumu makamanda wakuu pekee ni kuendeleza hiyo kauli ya kutokufukua makaburi ya wakubwa waliompigia kampeni.

jamaa fulani anaitwa haji omari kheri aliifanya hiyo wizara kama ya kwake kwa takribani miaka 10 ya utawala wa dk sheni, hizo vurugu zote za kupigwa watu hususani wapinzani zilisimamiwa na jamaa
ukitaja hao vigogo wa smz walioshikilia zanzibar na maslahi yake lazima umtaje huyo jamaa.
alichokifanya hussein chini ya utawala wake ni kuwaondoa wahafidhina wote, ila ningelifurahi zaidi kama angelitaifisha mali zao zote za kharamu.
1618403208957.png

Ndugu zake wa visiwa vya tumbatu siku aliyoondoshwa kwenye nyadhifa yake na huu utawala mpya walifanya sherehe
sasa sijui akifa itakuwaje wallahi
 
View attachment 1751812
Ndugu zake wa visiwa vya tumbatu siku aliyoondoshwa kwenye nyadhifa yake na huu utawala mpya walifanya sherehe
sasa sijui akifa itakuwaje wallahi

Mwinyi anaogopa uadui na kuzalisha akina kigogo wengine kisha kuitwa dikteta kisa kapigania maslahi ya wengi. Watanzania sio wa kuwatolea tatizo na kuwasulubisha utachukiwa mno

Ila huyo jamaa mpaka ndugu wakafanya sherehe atakua alikua na roho katili
 
Back
Top Bottom