Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia, Kamati hiyo imebaini kwamba Maafisa na askari wananyimwa fursa ya kupata vielelezo vya taarifa za mishara yao ikiwemo ‘Payslip’ zao hiyo imepelekea kwa baadhi ya askari hao kukatwa mishahara yao kinyume na utaratibu na kutokujua malengo ya makato hayo.
Alisema kuwa Kamati hiyo pia, imegundua kuwa kuna baadhi ya Askari waliokuwa wakitiliwa posho na kukatwa kwa kuingizwa kwenye maduka ya vikosi hali ambayo iliibua malalamiko mengi kwa askari na kuwakosesha morali ya kufanya kazi.
 
Hivyo, Rais Dk. Mwinyi alisema kuwa pamoja na Kamati kufanya kazi nyingi na kugundua udhaifu sehemu nyingi sana inatosha kwa hayo yaliobainika kuweza kuchukua hatua za kisheria ambapo aliagiza wahasibu na waingizaji wa data wachukuliwe hatua za kisheria na tayari wameshasimamishwa kazi na utaratibu wa kuchukuliwa hatua za kisheria unaendelea.
 
1618393507470.png
 
Yaleli kipenzi, fuadini mwangu, ulojifungia
Ukajihifadhi, jua na mawingu, yangakunyeshea
Japo umeridhi, wito wake Mungu, kuuitikia -
Mbona mtimani
Ungalimo ndani?
Hukunifundisha, kukufungulia, nikuache wende?


basi ungeweza ewe jicho langu uzuie machozi
limenitenda giza kwenye moyo wangu kulipenya kazi
vuke launguza kifuani pangu, zanisha pumzi kikija kilio nina gugumio
1618394016901.png
 
Alisema kwamba waliwahi kukamatwa baadhi ya Maafisa katika nyumba ya mtu binafsi wakiwa wamewafisha sare za Jeshi vijana na kuwapiga picha ili kuthibitisha kwamba wamo katika ajira rasmi.

Rais Dk. Mwinyi alisema kwamba imebainika kuwa fedha zilizotumika kwa upotevu ni kiasi cha TZS bilioni 2,235,725,000.00 kutokana na fedha zilizokuwa zikitumika kwa wafanyakazi hewa.
Aseee
 
Alisema kwamba Kamati haikuishia hapo na iliendelea kubaini kwamba kuna watumishi ambao walikuwa wameshastaafu lakini bado walikuwa wakiendelea kupokea mishahara ambapo kuliwa na wastaafu 12 wa Idara Maalum za SMZ waliokuwa wakiendelea kulipwa mishahara baada ya kustaafu ambapo ni kinyume na utaratibu.
Mkuu, ilete hii taarifa kule kwenye majukwaa huru ili niseme kitu
 
Alieleza kwamba hali hiyo imesababishwa na wahasibu wakuu wa Idara Maalum za SMZ kwa uzembe ama kwa kukusudia ambapo kwa misingi hiyo Serikali imeingia hasara ya jumla ya TZS milioni 44,610,280.00.
Hata hivyo, Rais Dk. Mwinyi alisema kuwa wastaafu wawili waliitwa na Kamati na kuhojiwa na baadae walikubali kurejesha fedha jumla ya TZS milioni 10,766,560.00 fedha ambazo ziliingizwa katika mfuko mkuu wa Serikali.
Alisema kwamba hayo yote yanabainisha kuwa ni kweli kulikuwa kuna watumishi wameshastaafu na bado walikuwa wakilipwa mishahara kinyume na utaratibu.
Shenzy taipu
 
Rais Dk. Mwinyi alisema kwamba mtumishi anapofukuzwa kazi hutakiwa kuwekewa kizuizi cha mishahara mara tu anapofukuzwa kazi hata hivyo, Kamati imegundua kwamba wahasibu wakuu wa vikosi pamoja na waingizaji wa taarifa za mishahara huchelewesha mchakato huo kwa makusudi ili fedha hizo zitumike katika matumizi yao binafsi.
Nao wana kesi ya kujibu
 
Hivyo, Kamati imegundua kwamba wahasibu huwatengenezea madeni watumishi waliokuwa wamefukuzwa kazi na fedha hizo hukatwa na kupelekwa kwenye duka la kikosi na hatimae fedha hizo huingia mifukoni mwa wahasibu hao ambapo jumla ya fedha zilizopotea kwa aina hiyo ni kiasi cha TZS 117,724,000.00.
Mambo haya tumezoea kusikia kuyasikia huko bara, naona sasa yamevuka bahari
 
Back
Top Bottom