Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kimeumana.
Acha kiumane.
Madhara ya kuwa na mahusiano na Papa, Kahaba aka Pashkuna.

Unamruhusu changudoa akufotoe !![emoji849][emoji849]
Ushamba mzigo
 
Ama kweli ushamba mzigo hata Da Mange kwenye page yake alisifia sana kwamba kavutiwa sana na yuko tayari kushusha pichu naye afaidi lakini bahati mbaya ni mdogo wake.

Nilimuona huyo Mange anamfundisha Konde mambo furani ya kufanya ili ikibidi amtose Kajala kimoja na arudi kwa Sara.
Ila huyu chinga muda mwingi nimemuona anaelekea kuharibikiwa maana anapenda kiki za kishamba.
Ukiwa super star kiki nyingine achana nazo.
 
Uko sawa Mkuu hicho nami ndicho nilichokisoma. Kuna tetesi jamaa amekuwa ni bingwa wa kutumia sembe sasa sembe ukichanganya na ushamba vinamharibu kichwa na muziki wake wapenzi wanadai unatetereka.
Nilimuona huyo Mange anamfundisha Konde mambo furani ya kufanya ili ikibidi amtose Kajala kimoja na arudi kwa Sara.
Ila huyu chinga muda mwingi nimemuona anaelekea kuharibikiwa maana anapenda kiki za kishamba.
Ukiwa super star kiki nyingine achana nazo.
 
Mungu aliepushe hilo jambo, maana kikinuka kitanuka mpaka peee.
Kinuke kidogo ili tuheshimiane. Maneno mengi mno na tunakoelekea nchi haitatawalika hii hasa kama mama atakuwa anafuata maneno na fyoko fyoko hizi za mitandaoni zisizoisha kutoka kwa wanaharakati wetu uchwara hawa. Kinuke kidogo tujue mbivu na mbichi...halafu kila mtu atakuwa na adabu na tutaheshimiana vizuri tu [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Wakulima woote poleni..
2.5480925397159665E18.jpg
 
Back
Top Bottom