antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kumekucha
KaribuNmefwata likes tu!
Mkuu, mbona umeadimika hum?!Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
Sasa wanatumia ipi?Based on an overall consideration, we have therefore chosen to continue the vaccination program for all target groups without this vaccine, he says.
Taarifa njema hii.. Ila naona VODA ni kichwa ngumu Sana. Kinahitaji nyundo kabsaaa!!!"Kama ambavyo maelekezo ya Serikali yametolewa tunafuatilia kwa karibu sana suala la mabando au vifurushi ili virudi kama ilivyokuwa awali”———Dr. Jabir Bakari Kuwe, Mkurugenzi Mkuu TCRA akiwa Makao Makuu ya TCRA Dar es salaam leo
"Tuna-monitor na tunategemea muda si mrefu vitakamilika na vitarudi vyote kama ilivyokuwa awali, tunafuatilia kila saa na muda sio mwingi vitarudi kama zamani, maelekezo ni kwamba tunarudisha mabando yote kama mwanzo"———Dr.Kuwe
😂😂😂Ndugu zake wa Tumbatu wamefanya sherehe? Maana yake alikuwa dharimu mpaka kwao!
Watu wakipata hivi vyeo wanakuwa kama wanyama[emoji849]
Dooh!Shida ni ile ile hata kwenye hii chanjo ya Johnson and Johnson. Damu inaganda kwenye ubongo na waathirika wakuu ni wanawake ambao hawajafikia menopause. Na matibabu yake kuondoa hiyo damu iliyoganda ni tata. Matibabu ya kawaida ya kutumia clot bursting drugs hayafai...
Guinea pigs...mamilioni kwa mamilioni ya watu..
😂😂😂
Anamtafutia shida tu binti kwa wakware wanaotafuta vitu sildi🙄
Yaani we dogo nakutafuta kumbe umebadili jina.
Safiii sana mkulima
Inasikitisha [emoji25]Ukumbusho huu unawahusu watu ambao Mwenyezi Mungu amewajaalia Imani kwenye kifua vyao.
Walevi, wazinzi na wahuni hili wala hawajali