Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1618524145388.png
 
Ahsante sana Mkuu. Umeandika vizuri sana na ni ukweli mtupu. 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Kwahiyo usenge wake ni upi?
Kama hutaki kulaumiwa jiweke mbali na kazi za uma.
Changamoto moja ya kufanya kazi ya uma ni kulaumiwa, haiwezekani watu milioni 60 wote wakupende na kukusifia.
Kama dini yako hairuhusu maiti kusimangwa, kuna wasio na dini ambao hawaoni hiyo tofauti.
Kwahiyo imani yako haiwezi kuwa imani ya watu wengine.
Kuheshimu mawazo ya wengine ni heshima kwako pia.
Vinginevyo jibu hoja zao kama walivyozileta, matusi ni dalili ya kukosa hoja.
 

i salute you Sir! Kinuke tu ili tuondokana na dhuluma na udhalimu uliokithiri nchini. Yuko wapi Mubarak? Mbona jeshi bora kuliko yote Africa lilishindwa kumlinda kutoka nguvu ya umma? Ahsante sana Mkuu.
Kwakweli kikinuka hasara ni kwetu watanzania masikini, lakini heshima huwa inapatikana kwa njia hiyo.

Ikibidi kinuke
 
[emoji16]unikome!
Humu jf sina boyfriend,mchumba Wala mume.
Leo naona una siteresi za kufa mtu. Ila huu wasifu mpya unaojaribu kuuvaa...huu wa kuporomosha matusi mitandaoni humu na kutukanana na mizee inayoweza hata kukuzaa wala haukufai. Baki tu katika utakatifu na ulokole wako huko (hata kama ni wa kujifanya) tulishakuzoea...

Huyo niliyemkwoti ni mtani wako sana katika uzi wa kuselfika; na sikumaanisha cho chote mbali na utani huo tu. Pole kwa kupaniki. Uwe na boifurendi, mume, hawara, mchumba, mchepuko or whatever is non of my business [emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom