Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vyakula Vinavyoongeza Uwezo wa Kujamiana: Asparaga (Asparagus) ni aina fulani ya maboga yenye vitamin B6, B9 na asidi ya foliki ambavyo huchochea msisimko na kufika kileleni (mshindo). Pia asparaga husaidia Vitamini E kuchochea homoni za ngono kwa wanaume na wanawake
 
Kucheka hupunguza homoni za mkazo (stress hormones) na kuongeza seli za kinga ya mwili hivyo kuongeza kinga dhidi ya maradhi. Pia huchochea utokezwaji wa endorphins kemikali inayomfanya mtu kujisikia vizuri na kupunguza maumivu yoyote aliyo nayo mtu kwa muda mfupi
 
Back
Top Bottom