Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mbali na kuimarisha uhusiano, kukumbatiana husaidia pia kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa wasiwasi, huleta usingizi mwanana n.k!
Uliwahi kukutana naye kwenye harakati zako za uvuvi bro!?mashine ya ukweli, papa kama papa
Nimeukosa mjukuu, startimes wahuni waliandika jina sio lenyewe.ule mzigo wa kichina ulifanikiwa kumzawadia bibi yetu?
Mkuu niaje mambo vp Familia haijamboKazi kwelikweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yapite kwa Amani[emoji120][emoji120]Hakuna jipya huko. Labda hiyo video/audio nikiiona/nikiisikia.
Nimeisha inakiri Anko, nikirudi tu kitu hicho namuachia. Tena namwambia kabisa wajina wa binti yetu kakupa zawadi.Natamani angempa mzigo wa kikorea wa wang's family
Nashukuru kwa ushauri mjukuu, uzuri wa wasukuma ni waelewa sana.itabidi babu andjul ambadilishie darasa mama samia,
kichina ni kigumu sana
[emoji120][emoji120][emoji120]Wagonjwa poleni sana
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mungu awaponye wagonjwa [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
[emoji120]Poleni wa sokoni na dukani..
Mpendwa kuna neno huwa linaanza mwanzo kabla ya hayo maneno matatu...Cha tatu leo
Kwema kabisa mkuu, sijui huko na familia kwa ujumla?
Hivi kesi yake imeishia wapi huyu jamaa
Mi namkumbuka huyu, alituhumiwa kwa ugaidi, hususan zile rabsha za kushambuliwa mapadri na taasisi za kidini ( Kikristo) huko Zanzibarunamkumbuka huyu jamaa na tabasamu lake?
Shukrani kwa kunikumbusha mpendwa.Mpendwa kuna neno huwa linaanza mwanzo kabla ya hayo maneno matatu...
Mungu akutie nguvu umalize salama hadi chungu cha mwisho
taja huo mtaaa wewe mzee,Nashukuru kwa ushauri mjukuu, uzuri wa wasukuma ni waelewa sana.
Ukiwa mkubwa oa msukuma,kuna mitaa fulani hapo kisiwani wamejazana sana, tena weupe peee... Mtarandana