Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sheria hizi 40 kandamizi ndani ya Katiba ya jamuhuri ya Tanzania bado zipo.
Moja sheria hizo kandamizi ni kumuweka mtu Kizuizini pasi na kumpeleka mahakamani.
Sheria hii ndiyo inayotumika kuwahifadhi wale mashekhe wa UAMSHO.
Sheria hizi 40 zilipigiwa kelele na aliyekuwa Jaji Mkuu Marehemu Francis Nyarari. Jaji Nyarari alipokuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya mfumo wa kisiasa Tanzania, ambayo ilimaliza kazi yake mwaka 1992.
Pia Jaji Robert Kisanga ambaye naye alikuwa mwenyekiti wa Tume ya rais ya marekebisho madogo kwenye Katiba (White paper) 1996.
Hata hivyo pamoja harakati nyingi za wanasheria, serikali bado haijabadirisha sheria hizi kandamizi ambazo zinakiuka haki za binadamu.
View attachment 1753788
Aisee...
 
View attachment 1753699

Wajumbe wa Baraza la Taifa (National Assembly) la Zanzibar Huru, tarehe 10 Desemba, 1963 ambalo jumla lilikuwa na Wajumbe 31, Unguja 17 na Pemba 14. Majina, vyama na majimbo waliyokuwa wakiwakilisha ni kama ifuatavyo:

1. Mhe. Abeid Amani Karume
- Kiongozi wa Upinzani (ASP - Kwahani)

2. Mhe. Ali Shariff Mussa
- (ASP - Wingwi)

3. Mhe. Saleh Saadalla Akida
- (ASP - Chaani)

4. Mhe. Hassan Nassor Moyo
- (ASP - Kiboje)

5. Mhe. Hasnu Makame Mwita
- (ASP - Jozani)

6. Mhe. Muhsin Ali Juma
- (ASP - Dole)

7. Mhe. Aboud Jumbe Mwinyi
- Mnadhimu Mkuu wa Upinzani (ASP - Fuoni)

8. Mhe. Rastom Sidhwa
- (ASP - Mwembeladu)

9. Mhe. Daud Mahmoud Jecha
- (ASP - Donge)

10. Mhe. Mohamed Juma Khamis
- (ASP - Mkoani)

11. Mhe. Othman Shariff Mussa
- (ASP - Chwaka)

12. Mhe. Abdulla Kassim Hanga
- (ASP - Kikwajuni)

13. Mhe. Idris Abdulwakil
- (ASP - Makunduchi)

14. Mhe. Rashid Ali Msellem
- (ZNP - Konde)

15. Mhe. Omar Hamadi Mussa
- (ZPPP - Mtambile)

16. Mhe. Bakari Mohamed Bakari
- (ZPPP - Shengejuu)

17. Mhe. Khalef Salim Abdalla
- (ZNP - Kengeja)

18. Mhe. Haji Mohamed Juma
- (ZNP - Mangapwani)

19. Mhe. Kombo Haji Kombo
- (ZNP - Tumbatu)

20. Mhe. Abdulla Juma Khamis
- (ZPPP - Pujini)

21. Mhe. Mohamedali Fazel
- (ZNP - Ziwani)
Safiii
 
1618585609850.jpeg
 
😂😂😂😂😂😂 mbuzi isije kuwa na papuchi imepewa jina ili kumzuga mume akiona message mke atamwambia kakosea huyo simjui kabisa. Mimi tangu lini nafuga mbuzi!? 🤣🤣🤣🤣
🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
 
Back
Top Bottom