Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1618486180462.jpeg
 
Hivi kesi yake imeishia wapi huyu jamaa
mara mwisho kufuatilia (2013) DPP wa kipindi kile aliipiga chini hii kesi, upande wa serikali hawakuwa na ushahidi wa kutosha.
now namkuta facebook, sijui kama ndiye yeye au kuna mtu anatumia utambulisho wake

 
kutoka maktaba: nimemuona ismail jussa
View attachment 1753682

Demokrasia ya Vyama Vingi haikuja kirahisi rahisi. Ilipinganiwa na watu walipitia machungu na mateso ili Watanzania wapate haki za kisiasa. Ili kudhibiti Upinzani, CCM ilitumia Dola kupandikiza mawakala (moles) wake katika vyama vipya. Mawakala (moles) wangalipo. #Tujihadhari.

Pichani ni Maandamano mjini #Zanzibar mwaka 1994 kudai Uchaguzi Haraka Zanzibar, Tume Huru, na Kufutwa kwa Sheria 40 za Ukandamizaji
Sheria hizi 40 kandamizi ndani ya Katiba ya jamuhuri ya Tanzania bado zipo.
Moja sheria hizo kandamizi ni kumuweka mtu Kizuizini pasi na kumpeleka mahakamani.
Sheria hii ndiyo inayotumika kuwahifadhi wale mashekhe wa UAMSHO.
Sheria hizi 40 zilipigiwa kelele na aliyekuwa Jaji Mkuu Marehemu Francis Nyarari. Jaji Nyarari alipokuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya mfumo wa kisiasa Tanzania, ambayo ilimaliza kazi yake mwaka 1992.
Pia Jaji Robert Kisanga ambaye naye alikuwa mwenyekiti wa Tume ya rais ya marekebisho madogo kwenye Katiba (White paper) 1996.
Hata hivyo pamoja harakati nyingi za wanasheria, serikali bado haijabadirisha sheria hizi kandamizi ambazo zinakiuka haki za binadamu.
JamiiForums1409635829.jpg
 
hata kuogelea sijui sembuse kuvua samaki
Acha masiahara, mi mtu huku bara naogelea maji ya aina zote, ziwa, mto, bahari sembuse wewe uliyekulia kisiwani!!!
Usitake niamini kuwa wewe ni mtoto wa mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Acha masiahara, mi mtu huku bara naogelea maji ya aina zote, ziwa, mto, bahari sembuse wewe uliyekulia kisiwani!!!
Usitake niamini kuwa wewe ni mtoto wa mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Bado ni kijana mdogo ni basi tu Mungu kamjaalia upeo mkubwa.
Halafu mtoto wa kubembelezwa kula siyo kama sisi msosi wa maandamano [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom