D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
nimenusa harufu fulani
🤣🤣🤣Nikiona posts zako ulo attach picha nascrow down mbio mbio naogopa nisije kukutana na tako.
Mara dogo yupo pembeni ananiuliza 'mama huyo nani?' [emoji1787]
Usiku wa daku..Niamekuandalia DakuView attachment 1754080
Jifunze kuogelea kijana wangusijawahi kuogelea
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Alisema wapo baadhi ya Waumini wamekuwa na tabia ya kufanya Ibada kwenye Mwezi wa Ramadhan pekee jambo ambalo linakwenda kinyume na ucha mungu unaopaswa kutekelezwa muda wote wa maisha ya Muumini.
Mheshimiwa hemed aliendelea kuwakumbusha waumini hao kuwa, mwezi wa ramadhani ni kipindi cha kusaidiana, kwa kuzidisha utoaji wa sadaka na kuwaasa wenye tabia ya kurimbikiza vyakula hadi kuvimwaga, hali ya kuwa wapo wenzao, ambao hawana cha kukila.
[emoji120][emoji120][emoji120]Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar aliwaomba Wananchi Mitaani pale wanapoona uzembe wa makusudi ni vyema wakatoa taarifa mapema katika ngazi iliyo karibu nayo na baadae itaifikisha katika ngazi husika.
Mapema akitoa Hotuba katika sala ya Ijumaa MaalimMashi Yussuf Mashi aliwakumbusha wale walioamini kuendelea kufunga Mwenzi Mtukufu wa Ramadhan na kinyume chake ni kuukataa Uislamu jambo ambalo dhambi isiyosameheka.
[emoji120][emoji120]Maalim Mashi Yussuf aliwaeleza Waumini hao kwamba lazima wazingatie taratibu za Ibada katika kujiepusha na vitimbi vya Shetani kwa kusoma sana Kitabu Kitakatifu cha Quran ibada itayokwenda sambamba na kuzidisha sala za Usiku.
Alisema hatua hiyo ndio njia pekee kwa Kila Muumini atakayejikita kwa hayo atafanikiwa kumshinda shetani na tayari atajikaribisha kwa Muumba wake katika utekelezaji wake wa ucha Mungu.
==============
asiyemjua makamu wa pili ndiye huyo pichani
View attachment 1754094
[emoji120][emoji120]Akizungumza na waumini baada ya Sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Maghfira uliopo mtaa wa Mchangani, Mjini Unguja, hivi leo, Mheshimiwa Othman amesema kwamba anaendeleza juhudi zilizoanzishwa na mtangulizi wake, Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, katika kulipatia ufumbuzi suala hilo ambalo limekuwa likiwaumiza wananchi wengi wa Zanzibar, mbali ya wenyewe mahabusu hao na familia zao.