Barcelona watatuma ofa ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, 32, amble anaondoka klabuni halo mwishoni mwa msimu, lakini Barca hawataweza kufikia dau la mshahara lilitolewa na Juventus la Euro million 10 kwa msimu kwa mshambuliaji huyo. (Sport)