Sifa ya kwanza ya Askari ni UTII.
Askari asie na #UTII kwenye Jeshi anahesabika kuwa ni Mhaini.
Ukikosa sifa ya UTII hufai kuwa Askari.
Askari kuandamana kwa jambo lolote ni ukosefu wa UTII na adhabu yake, pamoja na zingine ni kufukuzwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.