Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Epuka kujaza tumbo chakula - utaona kuna watu wanaokula kupita kiasi wakati mmoja. Hilo ni tatizo. Ikiwa utafanya hivyo, mwili wako hauwezi kutumia vizuri ile nguvu au nishati ya mwili ambayo umepata kwa wakati mmoja. Hili linaweza kusababisa kuongeza uzito. Ni vyema kula kidogo kidogo kisha unapumzika ili uweze kula tena baadaye