antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Nyuchi zao, au?
Nyuchi zao, au?
AiseeKuna matarajio kwamba klabu za Ujerumani na Ufaransa zitaunga mkono wazo hili lakini Taarifa toka kwa mkurugenzi wa Borusia Dortmund Hans Joachim Watzke imethibitisha kuwa Bayern na Dortmund hawatahusika na mpango huu huku PSG wakifuata msimamo kama huo