Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1619025006219.jpg
 
Bronnie Ware' ni Nesi ambae alikuwa akifanya kazi ya kuwahudumia na Kuwapa Faraja Wagonjwa ambao wanakaribia Kufa, Kwa takribani miaka 12 alirekodi mambo kadhaa ambayo Wagonjwa hao Huyajutia katika siku zao za mwisho na Haya ndio Majutio yaliyojitokeza zaidi;

1. Natamani ningeishi Maisha ninayotaka mimi na sio watu waliyotaka niishi.


2. Bora nisingefanya kazi Kwa Bidii (Hii hasa kwa Wanaume)


3. Natamani ningekuwa na Uwezo wa kuonesha wazi hisia zangu.


4. Natamani ningetumia muda mwingi na marafiki


5. Natamani ningechagua kuwa na Furaha zaidi.
 
Back
Top Bottom