Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
The Spotlight Effect' ni hali ambayo anakuwa nayo mtu kwa kujihisi kuwa kila mtu anamwangalia sana yeye tu.
He!! hii ajabuKwa mujibu wa utafiti, Binadamu wana uwezo wa kutoa sumu kama baadhi ya wanyama wengine.
Chanzo: Livescience
Ndio kaka ukimuuma mwenzio kwa meno utajua pia ukimtemea mdudu au nyoka mate ya asubuhi unapotoaka kuamka huwauaKwa mujibu wa utafiti, Binadamu wana uwezo wa kutoa sumu kama baadhi ya wanyama wengine.
Chanzo: Livescience
Mbona umenipost huku jamani, nilisema ni status🏃♀️
Skin tone so fine😍👌
Ndio kaka ukimuuma mwenzio kwa meno utajua pia ukimtemea mdudu au nyoka mate ya asubuhi unapotoaka kuamka huwaua