Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20210422-223131_Facebook.jpg
 
Ndio mpendwa nimeshakula.

Kisheria Dakun inatakiwa kuliwa kuanzia saa ngapi?
muda wowote unaojisikia kula ila inapendeza kama utachelewa kula daku,

Amesimulia Abu Dharr (radhi za Allaah zimshukie) Amesema Mtume (rehma na amani juu yake) Umma wangu utabaki kwenye kheri iwapo wataharakisha kwenye kufutari na kuchelewa kula daku.
----------------
 
Back
Top Bottom