moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hakika amesema ukweli mtupu
Mama ameliona hilo
unakula daku saa 6 usiku?Daku timee
Ndio mpendwa nimeshakula.unakula daku saa 6 usikuN
muda wowote unaojisikia kula ila inapendeza kama utachelewa kula daku,Ndio mpendwa nimeshakula.
Kisheria Dakun inatakiwa kuliwa kuanzia saa ngapi?