Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SIFA ZA MWANAMKE AFAAYE KUITWA MAMA.

1: Mwaminifu ktk kila jambo.
2: Sio mbishi kwa mumewe na watu wengine.
3: Hadekezi watoto.
4: Ni msiri kuhusu mambo ya mumewe na ya familia kiujumla.
5: Ana hekima na sio kutwa kutafuta watu na kuropoka siri za familia.
6: Ni mvumilivu.
7: Ni mwepesi wa kukiri makosa yake na tabia zake ambazo sio njema.
8: Ni msafi wa mwili,nyumba na mavazi.
9: Mcha mungu ila asiyejiona yeye yuko perfect.
10: Anapenda kumpikia na kumfulia mumewe na kumsaidia mambo mbalimbali.
11: Ni mleta mahusiano mema ktk familia zote.
12: Sio mchonganishi wala mtu wa kulazimisha mambo yake yakubaliwe.
13: Hana dharau,kiburi,hasira na unafiki.
14: Asiwe mgomvi, mtafuta makosa na asiwe anaishi na mume kwa Kusikiliza maneno ya marafiki, au kufanyia kazi maneno ya kuambiwa.
 
PAUL KAGAME
′′ I have closed over 6000 churches and mosques in my country and I am now applying for a degree in theology for every religious leader.

Stop playing with people's faith and making it a business. Rwanda is already a blessed country ", Rwandan president Paul Kagame said.
IMG-20210424-WA0002.jpg
 
waaow afadhali moyo umeridhika sijakupa hasara kubwa. sasa hio vicenzo angalia episode moja inaishia kwa jamaa kaning'inizwa ghorofan akitishiwa kudondoshwa. isipoishia hapo ujue wanaikata yaan episode moja kamili ya kissiassian huku wanaweka kuwa episode mbili au tatu
Hahahahhaha, unasema kweli.?Basi mie Nikapakua vincenzo ep1 tu
 
Back
Top Bottom