moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Pambaf, kumbe wanataka kujipatia mihela kirahisi ngoja nitaleta mrejesho auntiewaaow afadhali moyo umeridhika sijakupa hasara kubwa. sasa hio vicenzo angalia episode moja inaishia kwa jamaa kaning'inizwa ghorofan akitishiwa kudondoshwa. isipoishia hapo ujue wanaikata yaan episode moja kamili ya kissiassian huku wanaweka kuwa episode mbili au tatu
Pambaf, kumbe wanataka kujipatia mihela kirahisi ngoja nitaleta mrejesho auntie
😂😂😂😂😂😂😂😂 🙌😂😂😂😂😂nimevuta episode 9,10,11 za marriage lyrics ila sasaimenishanga mbaba niliyemuona kafariki episode ya nne kwenda ya tano kissiassian yupo hai kule toxic episode ya 9 mpaka 11 huko😂😂😂😂😂