Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kumtofautisha mnyaki na msuku kwa matendo yao ni kazi sana.
Msuk hapo anaingiaje? Tena uandae ng'ombe wa maana safari hii umalizie deni vizuri. Our Kabula is not short [emoji51][emoji51][emoji51]
270607078.jpg
 
SIFA ZA MWANAMKE AFAAYE KUITWA MAMA.

1: Mwaminifu ktk kila jambo.
2: Sio mbishi kwa mumewe na watu wengine.
3: Hadekezi watoto.
4: Ni msiri kuhusu mambo ya mumewe na ya familia kiujumla.
5: Ana hekima na sio kutwa kutafuta watu na kuropoka siri za familia.
6: Ni mvumilivu.
7: Ni mwepesi wa kukiri makosa yake na tabia zake ambazo sio njema.
8: Ni msafi wa mwili,nyumba na mavazi.
9: Mcha mungu ila asiyejiona yeye yuko perfect.
10: Anapenda kumpikia na kumfulia mumewe na kumsaidia mambo mbalimbali.
11: Ni mleta mahusiano mema ktk familia zote.
12: Sio mchonganishi wala mtu wa kulazimisha mambo yake yakubaliwe.
13: Hana dharau,kiburi,hasira na unafiki.
14: Asiwe mgomvi, mtafuta makosa na asiwe anaishi na mume kwa Kusikiliza maneno ya marafiki, au kufanyia kazi maneno ya kuambiwa.
Huyu ni malaika ama?
 
Back
Top Bottom