Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
SHIMBA YA BUYENZE ile april ya watu kudondoka kama kuku wa mdodo ishapita. Tanzania hatuna corona bro
Mungu Aendelee kuwalinda hivyo hivyo. Sasa moto unawaka huko kwa Wahindi. Kweli Mungu Anawapenda kwa namna ya kipekee sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Screenshot_20210424-094856_US%20Newspapers.jpg
 
Mungu Aendelee kuwalinda hivyo hivyo. Sasa moto unawaka huko kwa Wahindi. Kweli Mungu Anawapenda kwa namna ya kipekee sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1762690
kuna chanjo ya corona inaitwa pifiza sijui nimepatia jina nasikia wamesema hio chanjo ni ya maisha. ukichoma ya kwanza basi kila mwaka lazima uchome nyingine
 
kuna chanjo ya corona inaitwa pifiza sijui nimepatia jina nasikia wamesema hio chanjo ni ya maisha. ukichoma ya kwanza basi kila mwaka lazima uchome nyingine
Pfizer. Hakuna anayejua kuhusu chanjo hizi. Zinaweza kuwa sawa na zile za infuluenza ambazo inabidi kuchoma kila mwaka. Cho chote kinawezekana.

Nadhani mwendazake alikuwa sahihi kusema tusubiri kidogo.
 
Ni kweli madawa yaliadimika sana.

Hata hivyo jambo la kupongezwa ni kwamba wahusika wamekamatwa.
Ni vema sasa sheria ichukue mkondo.
Wanasema kuwa kwenye hii biashara ukikamata mmoja jua kuwa 10 wameshapenya. Wamarekani hawa wana mpaka satellites za kuangalia vyombo vya bahari na ndege zinazofanya safari zisizo rasmi kutokea huko Colombia na Venezuela lakini mizigo huwa inaingia tu. Biashara hii kuizima vigumu sana. Tunaweza kurudi na kuwa supplier mkuu wa sembe katika eneo hili kama ilivyokuwa zamani tusipokuwa makini.
 
Back
Top Bottom