Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,362
Kweli kabisa hata Mimi, nilikuwa nakula tunda kuanzia morning after chai, mapaka mda wa kulala.Tafiti: Wanaume wanaowasaidia Wake/Wachumba zao kazi mbalimbali za nyumbani huwa na furaha zaidi na pia tendo la ndoa hufanyika mara nyingi zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app