Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msuk hapo anaingiaje? Tena uandae ng'ombe wa maana safari hii umalizie deni vizuri. Our Kabula is not short [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1762578
Shemeji ondoa shaka kwenye mahari,nawanenepesha kwa fujo ili siku ya kuwaswaga watembee kwa tashwishi na sura zao ziwe na bashasha [emoji3][emoji3][emoji3]

Koromije kwema?
Hakika Mungu ni mwema [emoji120]
 
Toto la KIZULU.
1619287456552.jpeg
 
Back
Top Bottom