Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sikuwezi lol! Mie kwenye breakfast pili pili hapana hata kama kuna kiporo cha wali na maharage πŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈ
Hata mimi napenda pilipili mno...nanyweaga na chai asubuhi.

Ila hizo zinaonekana kama nyanya.na kama ni pilipili basi ni zile mwendokasi
 
Mbona kama ni nyanya hizo au macho yangu mabovu
Ni nyanya
FB_IMG_1612036700718.jpg
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sikuwezi lol! Mie kwenye breakfast pili pili hapana hata kama kuna kiporo cha wali na maharage πŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈ
Basi mi napenda pilipili ninywee chai ya motooo au nirumagie na Coca Cola..almanusura nizaliwe India
 
Back
Top Bottom