Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nimeshaamka daddy..
Amen daddy na iwe kama usemavyo.
Nawe Mungu aendelee kukulinda na kila lililobaya.
Amen.Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
U binti mwema ajabu. Mimi napendezwa nawe!
Nitakuja unifundishe kula mlo huo[emoji849]Ehee ni tamu sana sheikh [emoji41][emoji41]
Kwahiyo pilipili ya unga unakorogea kwa chai?Mbona ni simpo tu jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitakuja unifundishe kula mlo huo[emoji849]
Ni kama unavyokunywa chai na chapati/ugali/maandazi/makukuru na mengineyo.Kwahiyo pilipili ya unga unakorogea kwa chai?
Asante kwa ushauriNi kama unavyokunywa chai na chapati/ugali/maandazi/makukuru na mengineyo.
Tena ukitumia pilipili kichaa zile ziliziiva itapendeza zaidi sheikh [emoji41]