myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safiii sanaHapana ni nyanya kama nyanya.
Tomato.
Ni kama hizoView attachment 1763006View attachment 1763007View attachment 1763008View attachment 1763009
Safiii, imekaa poa
SawasawaKazi iendelee
Subutuuu!!! Jarbu Ujionee maajabu 😂😂😂Kwahiyo pilipili ya unga unakorogea kwa chai?
Karibu tenaAsante kwa ushauri
Mwache mwenzio 😆😆Subutuuu!!! Jarbu Ujionee maajabu 😂😂😂
😂😂😂 Unataka anze kunena kwa lughaMwache mwenzio 😆😆
Leo jumapili kunena kwa lugha ni lazima 😄😄😂😂😂 Unataka anze kunena kwa lugha
Itakuwa maajabu sana 😂😂😂Leo jumapili kunena kwa lugha ni lazima 😄😄
Wali na maharage mpendwaDaku ya leo nini?