BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
"We hope it's not too serious," Pochettino said.
Ehee ni tamu sana sheikh 😎😎Pilipili na chai?[emoji849][emoji849]
Vunga basi madame..hili ni moja kati ya maajabu ya dunia uliyowahi kuyasikia😄😄Mmmmh na chai labla unatania
Msishangae ndo ajabu leo hilo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua pilipili haipatani na vinywaji kama chai, mwenyewe nimemshangaa[emoji23][emoji23]
Mbona ni simpo tu jamani 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Mhindi anapenda pilipili ila Sidhani kam anaweza kunywa chai na pilipili.
Cherry 🍒 tomato
Binti ushaamka?Cherry [emoji523] tomato
Au Amber Rutty [emoji91][emoji91][emoji91]Mwanamke wa kawaida mkuu kama alivyo Gigy money
Nimeshaamka daddy..Binti ushaamka?
Kawe na siku njema; na Mungu Akabariki kazi za mikono yako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]