Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vifo vya watu 22 huko Pemba Januari 2001 vilinishtua na kumhuzunisha sana. Anasema “hili litaendelea kuwadoa katika Urais wangu ingawa sikuwepo lilipotokea”.

Anabaini kuwa wakati wa utawala wake, wanadiplomasia walionyesha upendeleokwa vyama vya upinzani na kukutana nao mara kwa mara, Pia wapo walioamini walistahili upendeleo kuliko wengine
 
kutoa mawazo na habari ilikuwa Chama chakeCCM na vikao vyake mbalimbali.Mheshimiwa Mkapa anakiri kuwa, Kabla hajawa Rais, hakujua kuwa kazi moja wapo ya Rais ni kutoa pole. Moja wapoya mapungufu yangu ni kwamba si mwepesi wa kuonyesha hisia zangu. Mrithi wanguRaiskikwete ni mzuri sanakatika hili.“Anasema Mheshimiwa Mkapa.
 
kutoa mawazo na habari ilikuwa Chama chake CCM na vikao vyake mbalimbali.
Mheshimiwa Mkapa anakiri kuwa, Kabla hajawa Rais, hakujua kuwa kazi moja wapo ya Rais ni kutoa pole. Moja wapoya mapungufu yangu ni kwamba si mwepesi wa kuonyesha hisia zangu. Mrithi wangu Rais kikwete ni mzuri sanakatika hili.“Anasema Mheshimiwa Mkapa.
•Mwaka 1996 mafuriko yalisababisha maafa makubwa katika Nchi.
•Kuzama kwa Mv bukoba kulistua na kuhuwisha sana majanga mengine mengi
.•Niliwahurumia wafungwa wote waliostahili kunyongwa mpaka kufa.

Anasema ingawa hakatai kukosolewa kisiasa au kisera,kukosolewa binafsi kuliumiza sana. Kwa mfano madai kwamba alimpendelea Baba mkwe wa mwanaekatika kubinafsisha mgodi wa makaa ya mawe wa kiwira yalimuumizasana.Pia madai kuwa ali
 
Kwa mfano madai kwamba alimpendelea Baba mkwe wa mwanaekatika kubinafsisha mgodi wa makaa ya mawe wa kiwira yalimuumizasana.Pia madai kuwa aliwapendelea NET GROUP solutions ltd wakati wa kubinafisha TANESCO kwa sababu ya shemeji yake kulimuumizasana pia jambo moja lilojitokeza baada ya muheshimiwa kumaliza muda wake ni la Externalpayment account (EPA). Mheshimiwa anaeleza kuwa,anavyoelewa urais wake haukuwa wa kwanza kuruhusu ununuzi wa madeni kama huo.
 
Anasema kwanza alisita ila Gavana wa Benki Kuu Daud Bilali alimuelewesha na akasema watakaonunua hayo madeni walikuwa tayari kuchangia mfuko wa kampeni za uchaguzi wa CCM. Wahuni walitumia uaminifu wakekwa chama kumshawishi akubali. “Ninajisikia kuwa nilitumika na kusalitiwa. Na ukweli ni kwamba mimi binafsi sikufaidika na sikupata chochote”.Anasema Mheshimiwa Mkapa.
 
Kuna kukosolewa kuhusu matumizi ya anwani ya Ikulu wakati mimi na mke wangu tulipochukua mkopo NBC kununua nyumba. Ukweli ni kwamba wakati ule tulikuwa tunaishi Ikulu, tulichukua mkopo kwa mashart ya kawaida ya biashara. Kabla sijaondoka Ikulu, nilimaliza malipo ya mkopo huo na mshahara wangu wa mwisho na mafao yangu, tukapewa hati ya nyumba hiyo.Anasema Mheshimiwa Mkapa.
 
Anafikirini muhimu kutazama upya suala la umiliki wa uchumi ili watu wengi zaidi wahusike. Kuendelea kushamirikwa umiliki hasa wa viwanda na mashamba makubwa na makampuni ya Kiasia au Kihindi inawezaikaletawivu, na kuleta shida kubwa. Ana wasiwasi na siku za mbeleni kwani umaskini uenda bega kwa begana uvunjifu wa amani. Lazima tujiulize kama tunajikita katika utulivu na aman
 
Anamalizia kwa kutoa ushauri kwa viongozi wa wakati ujao (future).

1.Onyesha nia na bidii kwa majukumu upewayo

.2.Uwe tayari kuwashirikisha wengine katika mawazo,mafanikio, matatizo na upimaji utekelezaji, consult more.

3.Usifanye kazi kwa kukurupuka na kutotabirika

4.Fuata na tii sheria na taratibu

5.Uwe tayari kusikiliza

6.Mtafute mlezi (mentor) kamamimi nilivyokuwa na Mwalimu
 
.Katika sehemu anabainisha umuhimu wa mke wake mama Anna Mkapa. Mapema kabisa katika ukurasa wa 83. Mheshimiwa anampa saluti mama Anna kwamba yeye ndiye gundiiliyo shikilia familia. Anakiri kuwa yeyeMheshimiwa Siyo mtu rahisi kuishi naye na anamshukuru kwa kuwa mtu wa subira na uwezo mkubwa. Amevumilia mengi wakati wa safari za mara kwa mara, kutokuwepo nyumbani mara nyingi na ndiye alibeba mzigo wa kuwalea watoto waowawili.
 
Kwanza Mheshimiwa ametumika sana Kimataifa katika nyadhifa na Taasisi mbalimbali ingawa hapendi kusafiri, Taasisi hizo ni pamoja na

•Club de Madrid The African Wildlife Foundation

•Investment Climate Facility for Africa

•UN Iniative “Delivering as One”

•UNCTAD Panel of Environment Persons.

•UN Commission on the Legal Empowerment of the Poor

•Mwenyekiti wa Seventh Centre tangu 2006

•Trustee the Aghakhan University

•The Mkapa Foundation

Kote huku amejichanganya na watu wenye akili nyingi.
 
tatu, anazungumzia kukosekana kwa itikadi na fikra pevu za kina juu ya mustakabali wa Taifa letu. Inabainishwa kuwa tunahitaji ukombozi wa pili, Kisiasa, Kiuchumi, Kiutamaduni. Tunahitaji kama Taifa, na mtu mmoja mmoja kuona aibu kuwa ombaomba. Tunahitaji kujitegemea na kuthamini uendelevu (sustainability) wa maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…