Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kanyerere kalikuwa kajanja mno kale kazee. Kanakuchekea tu laivu huku kanakumaliza. Wengi wanaamini inawezekana Karume hakuelewa hasa alichokuwa anakitilia sahihi....
Kuna kitu aligundua atakipata Zanzibar ndio maana akasimamia kwa miguu yote mitatu kuhakikisha anaungana nao. Sio bure bure tu
 
😂😂😂
 
How lovely Miss Vicenzo, Unajua hata mimi niliwaza labda kuna mtu alikuwa anayaota ya nyuma ndio maana ukaona vimejirudia.....nilibanwa kidogo na mimi nilitaka nilete mrejesho wa casssno kuwa niliikuta kama ulivyosema kwa ep1


Mr.queen is so hoot😆

#Toxicwamekusamehe
#Wamekupa_AmbassadorFlag😅
 
awesomeee🥰🥰🥰

mr queen ni tamu hasa vituko vya queen mwenyewe na mapishi yake bado bonge la romance ndani yake

#nimejiwahimapema
#toxicidumu
 
Wakati mwingine huwa wanafanya uchachishaji kwa njia isiyo ya asili katika maabara. Wanachukua kakao ambayo mfano wake ni maharagwe kutoka kwa waliochachisha kwa njia halisi.

Wanafanya majaribio yao na kutaka watu kuonja ladha yake.
 
Kwanza, wafanyakazi hutoa mbegu hiyo ambayo ipo kama maharagwe, na kukaushwa kwa kipindi cha siku 3 hadi 10 kabla ya kuwekwa chini ya jua. Kisha mbegu hiyo inachomwa, na kusagwa na sukari na wakati mwingine maziwa ya unga hadi mchanganyiko huo utakapokuwa laini kabisa.
 
Kipindi cha ukaushaji ndio uchachishaji unatokea kwa njia ya asili. Ladha ya chokoleti inajumuisha mengi wakati huo. Uchachishaji ndio kipindi ambapo thamani yake huimarishwa kupitia vijidudu, na hapo ndio kakao ambayo ni chungu kawaida hubadilika na kuwa yenye ladha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…