Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Yani hapa nipo nayo, inavyonoga unaweza shangaa daku likanikuta hapa hapaπππawesomeeeπ₯°π₯°π₯°
mr queen ni tamu hasa vituko vya queen mwenyewe na mapishi yake bado bonge la romance ndani yake
#nimejiwahimapema
#toxicidumu
ππππππYani hapa nipo nayo, inavyonoga unaweza shangaa daku likanikuta hapa hapaπππ
Hili bandiko lako ukianza kulinyambulisha linaweza kukupa maana nyingi sana ujue! πKuanzia mbegu hadi chokoleti
Unachokijua kama chokoleti huanza kama mbegu kutoka kwa mti wa kakao. Lakini ni mchakato mrefu kuibadilisha hadi kuwa chokoleti
πππππzinafika maana ngapi?Hili bandiko lako ukianza kulinyambulisha linaweza kukupa maana nyingi sana ujue! π