Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Arsenal wameanzisha mazungumzo na kiungo wao kinda Emile Smith Rowe, 20, ili kumpatia mkataba mpya. (The Athletic - subscription required)
Hamsa walahi! 😅😂😂😂😂😂zinafika maana ngapi?