Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kijana naona umevaa koti jipya[emoji23][emoji23]babu, wanifahamu nje na ndani.
shikamoo mzee wangu wa JF
Jamaa wamejitahidi sana, miaka 29 si haba, mastaa wengi ndoa zao hazifiki mbali.
Amefanyaje huyuAliyekuwa DED wa Temeke Lusubilo MwakabibView attachment 1766851i
shangazi bana! 😅Mama kaanza UDIKTETA
ukienda google ina hili jinaNaam...
Marahaba,heri ya mfungo.
Sijazeeka kizembe mjukuu wangu.
Ile tamthilia ya Kichina nimeipata jina japo kwa taabu sana.
Inaitwa Jin Tai Lang au Happy life, sasa kwa uzee huu macho hayaoni wapi pa kuipakua kwa matumizi ya bibi yako.
Nasubiri maelekezo kijana wangu.
Iftari njema [emoji120]
Esta
Nigendako
The Happiness