Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1619648437367.jpg
 
Ndiyo yeye juzi katumbuliwa na Ummy Mwalimu kwa kiburi chake kilichosababishwa na kuwa na madaraka.
Huyu jamaa ameathiliwa na mfumo wa zama za mawe aka jiwe.
Kwamba ukifakikiwa kuwashughulikia wapinzani mpaka jiwe likafurahishwa basi hutaguswa kwa kashfa yoyote.
Alijaribu kuishi kwa mazoea akidhani mambo ni yale yale.
Acha akione cha moto
 
jina jengine inaitwa we love you mr jin, kwa hizi tovuti maarufu tunazozotumia kwa ajili ya kushushia drama za Asia sijabahatika kuiona kwenye search engines zao.

babu hizi tamthilia unazipata wapi?
Ndio taabu yako mjukuu wangu kwa maswali magumu. Nimeambiwa niitafute hiyo tamthilia, tena nilionyeshwa picha ya washiriki tu. Nimepambana hadi nimeipata (Mungu hamtupi mja wake) badala ya kunipongeza unanitandika swali tena?

Nakutegemea kijana wangu, naitafuta furaha ya bibi yako.
 
Back
Top Bottom