andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ahsante sana binti mpole ...ukienda google ina hili jina
Embarrassed People A Happy Life kesho nitakutafutia zaidi anko
Raha ya kuzaa watoto wakusikilize [emoji108]
Ahsante sana binti mpole ...ukienda google ina hili jina
Embarrassed People A Happy Life kesho nitakutafutia zaidi anko
Hizi za kutoka Asia Esta anautaalam nazo sana, kwangu mimi kuzipakua hizi zilishanishinda kabsaNaam...
Marahaba,heri ya mfungo.
Sijazeeka kizembe mjukuu wangu.
Ile tamthilia ya Kichina nimeipata jina japo kwa taabu sana.
Inaitwa Jin Tai Lang au Happy life, sasa kwa uzee huu macho hayaoni wapi pa kuipakua kwa matumizi ya bibi yako.
Nasubiri maelekezo kijana wangu.
Iftari njema [emoji120]
Esta
Nigendako
The Happiness
Huyu jamaa ameathiliwa na mfumo wa zama za mawe aka jiwe.
Kwamba ukifakikiwa kuwashughulikia wapinzani mpaka jiwe likafurahishwa basi hutaguswa kwa kashfa yoyote.
Alijaribu kuishi kwa mazoea akidhani mambo ni yale yale.
Acha akione cha moto