moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Aysee. Wanaziogopa?
Blackmailing and extortion π
Kafanyaje?Aliyekuwa DED wa Temeke Lusubilo MwakabibView attachment 1766851i
Kafanyaje?
Huyu si ndiye alichakachua uchaguzi mdogo Kigoma akahamishiwa Temeke siku hiyo hiyo?
Daah.. afadhaliNdiyo yeye juzi katumbuliwa na Ummy Mwalimu kwa kiburi chake kilichosababishwa na kuwa na madaraka.
Huyu jamaa ameathiliwa na mfumo wa zama za mawe aka jiwe.Ndiyo yeye juzi katumbuliwa na Ummy Mwalimu kwa kiburi chake kilichosababishwa na kuwa na madaraka.
[emoji120][emoji120]Alfajiri njema
Ndio taabu yako mjukuu wangu kwa maswali magumu. Nimeambiwa niitafute hiyo tamthilia, tena nilionyeshwa picha ya washiriki tu. Nimepambana hadi nimeipata (Mungu hamtupi mja wake) badala ya kunipongeza unanitandika swali tena?jina jengine inaitwa we love you mr jin, kwa hizi tovuti maarufu tunazozotumia kwa ajili ya kushushia drama za Asia sijabahatika kuiona kwenye search engines zao.
babu hizi tamthilia unazipata wapi?