Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msichana aliyetelekezwa China kuwa mlimbwende maarufu duniani​

Wakati Xueli alipokuwa mtoto, wazazi wake walimtelekeza katika bustani ya nyumba ya kulelea yatima.

Nchini China, kuwa albino ni laana.

Hali hiyo adimu ya kimaumbile imemfanya msichana huyo kuwa na ngozi na nywele tofauti.Na kumfanya kuwa makini sana na mwanga wa jua.
1619879266131.png
 
Lakini muonekano wake wa tofauti umemuwezesha kufanikiwa kuingia katika tasnia ya ulimbwende . Ni miaka 16 sasa anatumiwa kwenye jarida maarufu duniani la Vogue na katika kampeni nyingi za matangazo ya wabunifu wengi wa kubwa.
Kituo cha yatima walimpa jina la Xue Li. Xue ikimaanisha theluji na Li mrembo. Niliasiliwa nikiwa na miaka mitatu na kwenda kuishi na mama na dada zangu huko Netherlands.
 
Wakati nilipozaliwa nchini China, serikali ilikuwa imeweka sheria ya kila familia kuwa na mtoto mmoja.
Hivyo ilikuwa ni bahati mbaya sana kwa mtu kuwa na mtoto mwenye ualbino.
Kuna wengine kama mimi walitelekezwa , wengine walifungiwa na kama wakipelekwa shule, nywele zao zilipakwa rangi.
Lakini katika baadhi ya mataifa ya Afrika, albino wanauawa, viungo vyao vinakatwa.
Waganga wa kienyeji wanatumia mifupa yao kutengeneza dawa, huku watu wengi wakiamini kuwa ni tiba.
Lakini si kweli, hizo ni imani potofu tu.
 
Wazazi wangu wa asili hawakuacha taarifa kuhusu mimi hivyo sijui hata siku yangu ya kuzaliwa ni lini.
Lakini mwaka mmoja uliopita nilifanyiwa X-ray katika mkono wangu na wakapata wazo la lini nilizaliwa na daktari alidhani kuwa ni karibu na miaka 15 iliyopita.
Nilianza kazi ya ulimbwende nikiwa na miaka 11 . Mama yangu aliwasiliana na mbunifu ambaye alikuwa na asili ya Hong Kong.
Aliamua kubuni mitindo ya nguo kwa ajili yangu ambayo iliniacha watu wengi kuwa mdomo wazi.
1619879431788.png
 
Aliita kampeni yake "perfect imperfections" na aliniuliza kama ninaweza kwenda kwenye maonesho Hong Kong. Nilifurahia sana.

Baada ya hapo nilialikwa katika kazi nyingi za picha na moja ilikuwa ya Brock Elbank huko London.

Aliweka picha zangu nyingi mtandaoni na wakala wa walimbwende Zebedee aliwasiliana name kuniomba kama ntaweza kujumuika katika mradi wa walemavu katika sekta ya fasheni.
1619879508853.png
 
Katika kusheherekea siku ya wafanyakazi duniani, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kuondoa zuio la watu kutotoka nje katika kaunti tano nchini humo kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona.
Katika taarifa yake rais Kenyatta amesema wakati alipotoa agizo la pili kwa umma mnamo Machi 2021, la jinsi ya kukabiliana na janga la Corona, Nairobi ilikuwa na maambukizi 56,815.
 
  • Saa za marufuku ya kutoka nje yanaanza saa nne usiku mpaka saa kumi alfajiri, inaanza kuanzia leo Mei Mosi 2021 katika nchi nzima , mpaka taarifa zaidi itakapotolewa. Awali marufuku hiyo ilianza saa mbili usiku hadi saa kumi alfajiri katika kaunti tano zilizowekewa marufuku ya kutoka nje ilhali maeneo mengine za taifa hilo ilianza saa nne usiku hadi saa kumi alfajiri.
  • Mikusanyiko ya kidini itarudi ikiwa inazingatia muongozo wa wizara ya afya. Hata hivyo nyumba ya ibada inapaswa kuwa na watu theluthi katika jengo la kuabudia .
 
  • Huduma za migahawa na maeneo mengine ya chakula yatarudi kuendelea na kazi kwa kuzingatia muongozo wa wizara ya afya pamoja na wizara ya utalii. Wenye migahawa wanashauriwa kutumia maeneo ya nje ili kuepuka mkusanyiko na watu waweze kuachiana nafasi.
  • Shule zimefunguliwa na kutakiwa kufuata miogozo ya afya katika kukabiliana na janga la corona.
  • Shughuli za michezo zimefunguliwa
  • Mihadhara ya kisiasa bado imekatazwa
  • Waajiri wamesisitizwa kuwaachia wafanyakazi wafanye kazi nyumbani
 
Back
Top Bottom