Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1619882196610.jpeg
 
Shukrani sana Mkuu sasa bila shaka unaweza kusoma yaliyomo. Mama yetu tumshukuru sana japo ni mdogo mdogo. Akituletea Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi basi umaarufu wake utapaa dunia nzima kwa kufanya kila Watanzania wengi tunachokitaka.
kabla ya kurudi kwa mtandao wa twitter (bila ya vpn) nilikuwa nagonga likes post za BAK bila ya kufahamu dhamira kuu ya kilicho postiwa😀😀😀.
 
Siyo ujinga. Ni mfumo wao. Na unawaendeshea maisha yao. Ni ujinga kwa vigezo vipi? Hata sisi majuzi tu hapa enzi za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti tulikuwa na mfumo huo; na tuliishi vizuri tu.

Hii tabia ya kudharau mifumo na tamaduni za wengine na kuziita za kijinga bila kuelewa sawasawa imetuletea matatizo na maafa makubwa. Kuanzia kutawaliwa mpaka majeshi ya Marekani kukimbilia Iraq na kwingineko eti kupeleka demokrasia. Chunguza sana mifumo ya jamii husika kabla hujakimbilia kutoa hukumu!

(Najua umefunga huwezi kutoa povu - na si kawaida yako. Mpaka raha yaani [emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734][emoji1734])
 
Maambukizi yalipungua mwezi Aprili kwa chini ya 15,000, hii ikionesha asilimia 74% ya maambukizi yamepungua mjini Nairobi.
Takwimu za wataalamu wetu wa afya zinaonesha hali kama hiyo katika eneo ambalo tuliweka katazo la watu kutotoka nje mwezi Machi 26, 2021
Huyu Jurgen Klopp ndiye Daemusin? Just checking
 

Anko, unajua kwanini nakupenda sana?
Tabia yako ya kujitoa kwa kusaidia wenye uhitaji ndio inakufanya uwe wa pekee kwangu.Wewe sio tajiri kutuzidi sisi ila una vitu (upendo) kutuzidi sisi.
Kuna muda nikikukuta kwenye ligi za akina Zari au sijui WCB najikuta naumia,kwanini? Ni vile ulivyo mpole na hujui kuongea zaidi ya muda mwingi simu mkononi, najiwazia mara paaap....uso kwa na Juma Lokole, Anko wangu hutatamka hata neno moja la kujitetea kwa upole wako.... Mshipa wa uzazi una kakamaaa kwa maumivu makali.

Najua unanipenda ndio maana unanihangaikia,niseme nini mimi juu yako?

Ahsante sana Anko,upo kwenye maombi yangu miaka yote.
Sijajuta kukufahamu.
Esta hatabiriki wewe. Ukimkuta hajakaa sawa siku hiyo utakula makonzi siku hiyo mpaka uombe poo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom