Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1619887325490.jpg
 
Siyo ujinga. Ni mfumo wao. Na unawaendeshea maisha yao. Ni ujinga kwa vigezo vipi? Hata sisi majuzi tu hapa enzi za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti tulikuwa na mfumo huo; na tuliishi vizuri tu.

Hii tabia ya kudharau mifumo na tamaduni za wengine na kuziita za kijinga bila kuelewa sawasawa imetuletea matatizo na maafa makubwa. Kuanzia kutawaliwa mpaka majeshi ya Marekani kukimbilia Iraq na kwingineko eti kupeleka demokrasia. Chunguza sana mifumo ya jamii husika kabla hujakimbilia kutoa hukumu!

(Najua umefunga huwezi kutoa povu - na si kawaida yako. Mpaka raha yaani [emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734][emoji1734])
Nina hamu ya kumwaga povu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
 
Familia bora wapi tukija kukutafuta Gold Crest ili tuonane na kufahamiana laivu ili kudumisha familia unapotea eti anonimazi foreva? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂bro bana
 
Familia bora wapi tukija kukutafuta Gold Crest ili tuonane na kufahamiana laivu ili kudumisha familia unapotea eti anonimazi foreva? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom