andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mkuu, naomba tusaidiane kubisha kwa nguvu zote.Kwamba ipo shule inaitwa hivyo? Kiukweli kabisa?
Nami nasema "hakuna shule yenye jina hilo unyakyusani, na halitakuja kutokea kamwe...nefaa"
Mkuu, naomba tusaidiane kubisha kwa nguvu zote.Kwamba ipo shule inaitwa hivyo? Kiukweli kabisa?
Uncle hawawatakii mema hawa 🤣🤣🤣Mkuu, naomba tusaidiane kubisha kwa nguvu zote.
Nami nasema "hakuna shule yenye jina hilo unyakyusani, na halitakuja kutokea kamwe...nefaa"
Eti Miuno primary... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uncle hawawatakii mema hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamna mbaya lakini😁Eti Miuno primary... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na ukute aliye andika hivyo ni Msukuma
Kabisa. Ila mimi walinitoa kwasababu ya aibu na kigugumizi kwenye ngonjera.Hamna mbaya lakini[emoji16]
Uncle ila zamani sisi wahenga shule kulikuwa na kipindi cha ngoma. Filimbi, ngoma na mauno tena tunacheza hadi sikukuu za wazazi na mahafali..
😂😂😂😂 HahahaKabisa. Ila mimi walinitoa kwasababu ya aibu na kigugumizi kwenye ngonjera.
Tulikuwa tunajifunga kanga viunoni ikiwa imekunjwa mithili ya mkanda, wadada ilikuwa inakunjwa katikati halafu inafungwa kwa kuyagawa matako... Kwenye kukatika sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ankoo acha tu, dunia imeninyoosha hadi ulimi umenyooka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hahaha
Siku hizi kigugumizi kimekuisha chote!