Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini mabadiliko hayo ya lishe yatahisiwa zaidi katika baadhi ya maeneo kuliko mengine. Kwa mfano watu kutoka Amerika ya Kaskazini wanakula mara sita na nusu zaidi kiwango kinachopendekezwa cha nyama nyekundu, huku watu kutoka Kusini mwa Asia wakila nusu ya kiwango kilichopendekezwa.
 
Na wakati huo, utafiti huo unaonyesha kuwa kufikia viwango vinavyopendekezwa vya vyakula vya wanga kama vile viazi na mhogo kutahitaji mabadiliko makubwa katika kanda ya Kusini mwa Jangwa la Sahara, ambako kwa wastani watu hula mara saba na nusu ya kiwango kinchopendekezwa.
 
Back
Top Bottom