Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hamna mbaya lakini[emoji16]
Uncle ila zamani sisi wahenga shule kulikuwa na kipindi cha ngoma. Filimbi, ngoma na mauno tena tunacheza hadi sikukuu za wazazi na mahafali..
Kabisa. Ila mimi walinitoa kwasababu ya aibu na kigugumizi kwenye ngonjera.
Tulikuwa tunajifunga kanga viunoni ikiwa imekunjwa mithili ya mkanda, wadada ilikuwa inakunjwa katikati halafu inafungwa kwa kuyagawa matako... Kwenye kukatika sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
😂😂😂😂 Hahaha
Siku hizi kigugumizi kimekuisha chote!
 
Katika utafiti uliochapishwa kwenye jarida la sayansi la Lancet, mabadiliko makubwa yanahitajika katika uzalishaji na ulaji wa chakula ili kuepusha vifo vya mamilioni ya watu na kuilinda sayari kutokana na uharibifu.
 
Kitu muhimu hapa ni kuwa na mabadiliko ya lishe ya dunia na hii inamaanisha kutumia sukari kwa kiwango kidogo na kupunguza ulaji wa nyama nyekundu na badala yake kula kwa wingi mbogamboga, kunde, matunda na njugu, umebainisha utafiti huo.
 
Watafiti kutoka kamisheni ya EAT-Lancet wamesema iwapo watu watafuata mpango huo wa lishe, zaidi ya vifo milioni 11 kila mwaka vinavyotokea kabla ya wakati vinaweza kuepukika, Hewa chafu ya kaboni huenda ikapungua huku ardhi zaidi, maji na uwepo wa viumbe hai vikahifadhiwa.
 
Lang amesema kulisha idadi inayoongezeka ya watu bilioni 10 ifikapo mwaka 2050, kwa lishe endelevu na ya kiafya haitawezekana bila kubadilisha namna tunavyokula, kuimarisha uzalishaji wa chakula na kupunguza uharibifu wa chakula chenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…