Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Miaka ya 60 unasoma Ihungo? Mzee wangu heshima yakoNilisoma Ihungo miaka ya 60 palikuwa hivyo hivyo japo palikuja kufanyiwa mabadiliko kidogo. Nikapita tena miaka ya 80 nikapakuta pako vile vile. 2010 nilipita huko tena nikakuta kumezidi kuharibika. Sijui hata tatizo ni nini yaani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba hii kaiwahisha hakupaswa kuitoa muda huuZe don mimi mwenyewe nimemnyamzia tu hapo kwenye 60 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
modi atalaumiwa tu ila wahindi kwa sherehe zao za kidini huwaambii kitu wanasahau kabisa kuhusu corona pia india kuna kiasi kikubwa cha watu maskiniiiiiiii yaan ukiangalia wanavyoishi hatari kubwa hapo bado mchezo wa kutekana ili kuchomoa figoNeandra Modi has let let down his people. This is not acceptable for a country that is a leader in pharmaceuticals and medical technology. Very sad [emoji24]
[emoji23][emoji23]Ihungo miaka ya 60!?
Mzee wangu shikamoo!!
Itakuwa labda zamani huko, tatizo nikikutana na huyu mzee mwenzangu miaka inajirudisha nyuma automatikale [emoji3][emoji3][emoji3]Ile comment imenichekesha sana kumbe unapenda Vinono kama Simba ya Buyenze.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂steve hudy
Jamaa anatupelekea moto siyo wa kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka ya 60 unasoma Ihungo? Mzee wangu heshima yako
Shida ya huyu mzee ni kwenye namba, sijui zimemkosea nini haki ya Mungu, kumuamini unatakiwa uwe na imani iliyo aminika kweli kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba hii kaiwahisha hakupaswa kuitoa muda huu
Wewe na mzee mwenzio inaonesha bado hamjamaliza ujana😂😂Itakuwa labda zamani huko, tatizo nikikutana na huyu mzee mwenzangu miaka inajirudisha nyuma automatikale [emoji3][emoji3][emoji3]
Ahsante kwa hii alert mpendwa, nitaongea na Ngosha ze Don tuone kama huu ujana bado tunao?!!Wewe na mzee mwenzio inaonesha bado hamjamaliza ujana[emoji23][emoji23]