Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kipindi cha Vita Ya Pili Ya Dunia (WWII), Inaelezwa kuwa kuna mpango uliandaliwa na majasusi kutoka Marekani kutaka kumgeuza kuwa na tabia kama Mwanamke Mtawala wa Ujerumani kipindi hicho Adolf Hitler. Walitaka kuingiza Homoni za kike kwenye karoti zake alizokua anakula, Mpango haukufanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…