Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ze don mimi mwenyewe nimemnyamzia tu hapo kwenye 60 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ila we kikongwe unanishangaza sana [emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23]
Shida ya huyu mzee ni kwenye namba, sijui zimemkosea nini haki ya Mungu, kumuamini unatakiwa uwe na imani iliyo aminika kweli kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Anadai eti alikuwa O level Ihungo miaka ya 60,
Mi binafsi nimechoka asee, huenda tupo na kaka na baba zetu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asalaam Alyeikum.
Habari za mfungo bro.

Mzee SHIMBA YA BUYENZE ametuchomolea betri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahahahahahaha, ze Don njoo huku[emoji23][emoji23]
Ndugu zangu. Ya nini tuandikie wino na mate yapo? Nitakuwa nyumbani Misungwi Julai hii. Ye yote atakayependa nitakuwa tayari kuonana naye (isipokuwa Esta wa anonimazi foreva). Andaeni tu shikamoo za kutosha. Umri umeenda kwa kweli si mchezo. Tumshukuru Mungu Wapendwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
modi atalaumiwa tu ila wahindi kwa sherehe zao za kidini huwaambii kitu wanasahau kabisa kuhusu corona pia india kuna kiasi kikubwa cha watu maskiniiiiiiii yaan ukiangalia wanavyoishi hatari kubwa hapo bado mchezo wa kutekana ili kuchomoa figo
Kama kiongozi wa nchi na anayeijua vyema jamii yake hawezi kukwepa lawama. The buck stops with him! He failed !!
 
Ukifika Misungwi, baada ya mapumziko ya wiki moja huko Usukumani "nakualika" Dar es salaam kwa matembezi.
Huu ni mwaliko rasmi kwako kupitia hapa jukwaani.[emoji120][emoji120]
 
why not me,me not why😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Nilisoma Ihungo miaka ya 60 palikuwa hivyo hivyo japo palikuja kufanyiwa mabadiliko kidogo. Nikapita tena miaka ya 80 nikapakuta pako vile vile. 2010 nilipita huko tena nikakuta kumezidi kuharibika. Sijui hata tatizo ni nini yaani!
Dah! Miaka ya 60 ulikua tayari Sec. school!?

Shikamoo mzee SYB 😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…