Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilisoma Ihungo miaka ya 60 palikuwa hivyo hivyo japo palikuja kufanyiwa mabadiliko kidogo. Nikapita tena miaka ya 80 nikapakuta pako vile vile. 2010 nilipita huko tena nikakuta kumezidi kuharibika. Sijui hata tatizo ni nini yaani!
Heshima yako Bro! maana nimeona shikamoo haitoshi sasa 😀😀
 
Asalaam Alyeikum.
Habari za mfungo bro.

Mzee SHIMBA YA BUYENZE ametuchomolea betri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Waa'alyequm salaam bro, mfungo tunaendelea nao...kwema hapo bro? Ni matumaini yangu kuwa mfungo utakuwa unaenda salama pia hapo...


Mzee Shimba hatari sana [emoji23][emoji23]
 
Sawa mzee wangu, nmepokea mwaliko wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…