Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukifika Misungwi, baada ya mapumziko ya wiki moja huko Usukumani "nakualika" Dar es salaam kwa matembezi.
Huu ni mwaliko rasmi kwako kupitia hapa jukwaani.[emoji120][emoji120]
Mwaliko nimeupokea rasmi kwa mikono miwili. Tuombe uzima tu. Tena sote wawili tutakwenda kwa mzee wa Mwakaleli moja tukatandike ugali huko. Itakuwa safi sana. Na tutawawekea wanajukwaa hapa picha kabisa wajionee. Mhenga senior na wahenga juniors [emoji16][emoji16][emoji870][emoji870]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…